REAL LIFE INTERNATIONAL - BUZA CHILDREN CENTER

REAL LIFE INTERNATIONAL - BUZA CHILDREN CENTER : Pamoja na bidii zinazofanyika, bado kuna watoto wengi sana nchini Tanzania walio yatima au wanaoteseka kwasababu mbalimbali. Tunaamini ni jukumu letu sote kuwafikia na kugusa maisha ya watoto hawa. Kama unaguswa na mambo haya karibu sana tushirikiane. Kumbuka unapomsaidia maskini unamkopesha Mungu. Please partner with us to help vulnerable children in Tanzania etc. Contact us to learn how. Thanks in advance. |Kwa mawasiliano TZ: +255 753 561355 USA +1 614 962 3540 |

Listing created Apr 26, 2019

Public discussion (0)

You must log in to send a new comment.

AfricanDeals is powered by the Sharetribe marketplace platform.

Want to create your own online marketplace website like AfricanDeals? Learn more.